Sunday, 20 November 2016

YALIYOJIRI ZIARA YA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA KATIKA JIJI LA DAR


15
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na Vijana walioathirika na madawa ya kulevya (hawapo pichani) alipotembelea kituo cha Sober House cha kurekebisha waathirika wa dawa za kulevya kilichopo Vijibweni Kigamboni wakati wa ziara yake ya siku 10 ndani ya jiji la Dar es Salaam kwaajili yakusikilza kero za wananchi. PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
2
Kulia ni Kijana mmoja aliyeko kwenye kituo Sober House cha kurekebisha waathirika wa dawa za kulevya, kilichpo Vujibweni Kigamboni, akimuonyesha Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda tumbo lake lilivyobaki na makovu ya kutisha kutokana na operesheni aliyofanyiwa kutolewa dawa za kulenya tumboni
3
Baadhi ya Vijana walioathirika na madawa ya kulevyo wakipiga makofi kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati akizungumza.
14
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akipokea zawadi kutoka kwa  Mmiliki wa Kituo cha vijana wa Sober House,Nuru Saleh jana jijini Dar es Salaam
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *