Serikali yavipa siku mbili vyuo vikuu ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi Bodi ya Mikopo (HESLB ) | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...

Thursday, 3 November 2016

Serikali yavipa siku mbili vyuo vikuu ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi Bodi ya Mikopo (HESLB )Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili kuwapatia mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.

Taarifa ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo 14 siku mbili pekee kuhakikisha vinatuma majina kwa Bodi ya Mikopo na kuagiza viweke mfumo mzuri ambao utawawezesha kutuma matokeo kwa haraka.BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG
Pata taarifa mpya kwa wakati kwenye watsup yako,FANYA HIVI 1:SAVE HII NAMBA 0768260834 KWENYE SIMU YAKO AS BLOGGER BOY au MASWAYETU BLOG 2:NITEX "habari" 3:NITAKUPA HABARI KALI ZA KILA SIKU BURE!

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us