Friday, 4 November 2016

BODI YA MIKOPO:MSAKO WA WADAIWA SUGU KUANZA KARIBUNI

 Image result for HESLB.GO.TZ

Bodi ya Mikopo itatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 ambao madeni yao yameiva.
Majina ya Wadaiwa sugu yatawekwa hadharani tarehe 13 Novemba, 2016.  Wasugu hao watapewa siku 30 kulipa madeni yao.  Baada ya muda huo, hatua za kisheria zitachukuliwa na wahusika watalipia gharama za kuwasaka.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0763 459165 au 0767 513208

Imetolewa na:
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
03/11/2016
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *