YANGA Yamleta Kocha Mpya Kisiri na Kumsainisha Mkataba wa Miaka Miwili | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Tuesday, 25 October 2016

YANGA Yamleta Kocha Mpya Kisiri na Kumsainisha Mkataba wa Miaka MiwiliDAR: Kocha Mzambia aliyekuwa akiinoa Klabu ya Zesco United ya Zambia, George Lwandamina amesaini mkataba wa miaka 2 wa kuifundisha Klabu ya Yanga.

Kocha huyo alitua jijini Dar kwa usiri huku uongozi wa Yanga ukimficha kwa kile kilichotajwa kutotaka kuivuruga timu ambayo imerejea kwenye kiwango chake.

Inadaiwa pia Yanga huenda ikalifumua benchi kote la ufundi la sasa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us