Wednesday, 12 October 2016

TAARIFA KWA UMMA - TUZO KWA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 KATIKA MASOMO YA SAYANSI

 Ministry of Education, Science and Technology


Katika sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Dodoma mwaka 2015 , Mhe. Balozi wa Jamhuri ya watu wa china aliahidi kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya Sayansi katika Mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne mwaka

2014. Wanafunzi sita (6) walipatiwa zawadi hizo kwa niaba ya wenzao.


Kwa sasa zawadi hizo zimeshatumwa katika shule ambako wanafunzi hao walisoma. Kwa tangazo hili, wanafunzi hao wanatakiwa kufuatilia zawadi zao kwa wakuu wa shule walizosoma na kuhitimu kidato cha Nne Mwaka 2014. Majina ya wanafunzi hao ni kama ifuatavyo:
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *