PROF.NDALICHAKO AWAFUKUZA CHUO WALIMU WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...

Thursday, 6 October 2016

PROF.NDALICHAKO AWAFUKUZA CHUO WALIMU WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA

Walimu wanaotuhumiwa kumpiga mwanafunzi MBEYA wafukuzwa chuo
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi SEBASTIAN SINGULI .
Profesa NDALICHAKO amesema kwa mujibu taratibu za vyuo vikuu kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao ni kosa  la jinai na hawawezi kuendelea na taaluma ya ualimu kwa sababu wamekosa sifa ya kuwa walimu.

Aidha ameelezea kusikitishwa kwake pamoja kuchukizwa na kitendo hicho ambacho amesema si cha kawaida na hakiwezi kufumbiwa macho.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG
Pata taarifa mpya kwa wakati kwenye watsup yako,FANYA HIVI 1:SAVE HII NAMBA 0768260834 KWENYE SIMU YAKO AS BLOGGER BOY au MASWAYETU BLOG 2:NITEX "habari" 3:NITAKUPA HABARI KALI ZA KILA SIKU BURE!

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us