Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Sunday, 30 October 2016

Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa motoBasi la Kampuni ya Safari njema lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salama. Limegongana na Lori katika eneo la Kimara Stopover.

Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha lori na Basi T 990 ADF liitwalo Safari njema linalofanya safari zake kati ya Dar na Dodoma linaungua. SASA hivi yanaungua na watu waliokuwemo ndani.
FB_IMG_1477837647304.jpg FB_IMG_1477837606603.jpg FB_IMG_1477837572924.jpg FB_IMG_1477837542187.jpg FB_IMG_1477836673407.jpg FB_IMG_1477837647304.jpg FB_IMG_1477837606603.jpg FB_IMG_1477837572924.jpg FB_IMG_1477837542187.jpg
[​IMG]
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us