BREAKING NEWS: BONDIA MASHALI AFARIKI DUNIA - AUWAWA, MWILI WAKE WAOKOTWA VICHAKANI DAR | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Monday, 31 October 2016

BREAKING NEWS: BONDIA MASHALI AFARIKI DUNIA - AUWAWA, MWILI WAKE WAOKOTWA VICHAKANI DAR

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye.

Taarifa zinaeleza ameuwawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuokotwa vichakani maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.


Yassin Abdallah maarufu kama Ustaadhi, mmoja wa viongozi wakongwe wa mchezo wa ngumi amethibitisha na kusema mwili wa Mashali upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

"Tumethibitishiwa hizo taarifa za majonzi kabisa, mwili upo Muhimbili na msiba upo kwao Tandale," alisema Ustaadhi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us