Monday, 19 September 2016

UPDATES:PICHA MBALIMBALI BASI LA NEW FORCE ONE LA SONGEA-DAR LILILOPATA AJALI JANA USIKU NJOMBEKwa mujibu wa kamanda wa polisi,Watu 12 wamefariki dunia katika ajali ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likisafiri kutoka Dar kwenda Songea, katika watu waliofariki kati yao wanaume ni 4 na wanawake 8. Huku majeruhi wakiwa 10.


Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *