Monday, 5 September 2016

TANZIA:SERIKALI YA WANAFUNZI SUA INATANGAZA KWA MASIKITIKO KIFO CHA MWANAFUNZI, CATHERINE

Serikali ya wanafunzi SUA inatangaza kifo cha mwanafunzi anaitwa kwa jina la catherine aliekuwa nasoma ktk kampasi ya MAZIMBU ,akisomea kozi ya Bsc.AEA mwaka wa kwanza.
Maswayetu blog inatoa pole kwa familia na wanajumuiya yote ya SUA,Tunawahakikishia ushirikiano wa kutosha.


Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *