TAARIFA MUHIMU KUTOKA BODI YA MIKOPO KUHUSU UHAKIKI WA WANAFUNZI UNAFANYIKA UDSM KUANZIA TAREHE 27-29 SEPTEMBA, 2016 | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Thursday, 29 September 2016

TAARIFA MUHIMU KUTOKA BODI YA MIKOPO KUHUSU UHAKIKI WA WANAFUNZI UNAFANYIKA UDSM KUANZIA TAREHE 27-29 SEPTEMBA, 2016


Image result for HESLB.GO.TZ
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawajulisha kuwa kutakuwa na zoezi la kuhakiki wanafunzi wa vyuo 31 ambao awali walihakikiwa na baadhi yao hawakuhakikiwa lakini vyuo vinawatambua kama wanafunzi wao halali.
Uhakiki utafanyika kuanzia Jumanne tarehe 27 Septemba hadi Alhamisi tarehe 29 Septemba, 2016. Katika siku hizo tatu; uhakiki utafanyika katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Yombo kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
Wanafunzi husika wanashauriwa wasipoteze fursa hii ya kuhakikiwa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us