Wednesday, 14 September 2016

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017

Tokeo la picha la TCU.GO.TZ


Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG katika nusanusa yetu tumefanikiwa kunasa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa na watu wengi,ni kuhusu majina ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU 2016/2017 kujiunga vyuo vikuu mbalimbali 2016/2017.
 wale wote mlioomba vyuo kama,
 • Chuo Kikuu cha Ardhi, (ARU)
 • Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU),
 • International Medical and Technological University (IMTU)
 • Moshi University College of Cooperative and Business Studies(MUCOOBS-MOCCU)
 • Chuo Kikuu cha Mlima Meru
 • Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
 • Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
 • Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
 • Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
 • Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
 • Chuo Kikuu St. Augustine cha Tanzania (SAUT)
 • Chuo Kikuu St. John cha Tanzania (SJUT)
 • Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
 • Chuo Kikuu cha Zanzibar
 • Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji-TEKU
 • Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
 • Chuo Kikuu cha Bukoba
 • Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), established in 1970 from the split of the Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki
 • Chuo Kikuu cha Dodoma,UDOM
 • Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)


NOTE:LINK IMEKAA POA ,ANDAA USERNAME NA PASWORD YAKO ILI UONE KAMA UMECHAGULIWA KWA KU LOGIN KWENYE PROFILE YAKO!

 kuangalia  umechaguliwa wapi bofya HAPA 

AU

==>Ingia hapa kuona ulipochaguliwa ==>TCU CAS | Search Selection

KUONA VYUO VYENYE NAFASI BONYEZA HAPA

  
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *