Saturday, 24 September 2016

MPYA:DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WA CHETI NA DIPLOMA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA 2016/2017

 Image result for SERIKALI YA TANZANIA
Habari zenu,

Maswayetu blog,tunaendelea kuwapa vitu roho inapenda ,kwa kuwatafutia joining instructions za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali vya afya Tanzania 2016/2017.


Joining hii nimeitoa wizara ya Afya na maendeleo ya Jamii ,inajumuisha gharama zote za chuo na maelekezo yote kwa ujumla,inawahusu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya vya serikali Tanzania.DOWNLOAD HAPA
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *