JE,WALIMU MNAOSUBIRIA AJIRA SASA KUANZA KUFANYIWA INTERVIEW? ONA HII HALAFU JIPE JIBU MWENYEWE | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Friday, 9 September 2016

JE,WALIMU MNAOSUBIRIA AJIRA SASA KUANZA KUFANYIWA INTERVIEW? ONA HII HALAFU JIPE JIBU MWENYEWE

Image result for SERIKALI YA TANZANIAKatika pitapita yangu,Nimenusa sehemu na kufanikiwa kukutana na system ambayo  ni ya online kwa ajili ya walimu wote kuapply online kwa kusubmitt vyeti vyako vyote.

Nimejiuliza sana,je ni kweli walimu kuanza kufanyiwa interview kama kozi zingine?

Maswayetu blog bado tunalifuatilia hili ktk ofisi za TAMISEMI kukuletea taarifa kamili.
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. Website: