Aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti UHURU IRINGA Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Sunday, 18 September 2016

Aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti UHURU IRINGA Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam

Aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti UHURU IRINGA Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam

ALIYEKUWA mwaandishi wa habari wa gazeti linalomilikiwa na Chama Cha Mapindizi (CCM), UHURU, Bw. Frank Kibiki amefariki jioni ya leo jijini Dar Es Salaam mara baada ya kuugua ghafla. Taarifa za awali zinasema kuwa marehemu alikuwa akiugua ugonjwa wa malaria kwa zaidi ya siku tatu na alikuwa akipata matibabu jijini Dar Es Salaam.

Marehemu Kibiki pia alishiriki ktk kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya kuwakilisha jimbo la Iringa mjini ktk nafasi ya ubunge. Taarifa zaidi endelea kuperuzi tovuti hii  au fatilia taarifa zetu za habari.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us