Monday, 5 September 2016

AJALI BASI LA HOOD:BASI LA HOOD LA MBEYA - ARUSHA LAGONGA PIKIPIKI,LAUA NA KUJERUHIMtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafutaKama Una Habari,Picha,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0757478 553 ,0625 918 527

Share:

Soma habari hizi pia:

HABARI KALI MWEZI HUU

MAKTABA YETU

Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *