Sunday, 14 August 2016

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia


Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920.

=======
UPDATE:

JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu.

image.jpeg
image.jpeg
image.png

======
Toka Ikulu

image.jpeg
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *