Sunday, 14 August 2016

TANGAZO TANGAZO>>> KWA WADAU WOTE WA MASWAYETU BLOG

Habari zenu;

Kwa siku kadhaa hapo nyuma tumeshindwa kukutumia habari kwa njia ya watsup kama kawaida na hii imewafanya wengi kukosa habari kwa wakati mwafaka.

Ukweli ni kwamba tumepata matatizo vifaa tunavyotumia ktk usambazaji wa habari vimeungua-umeme,kutokana na gharama za utengenezaji kuwa kubwa tunaomba wewe mdau wetu wa maswayetu blog,Mchango wako wa hali na mali ili tuweze kutengeneza na  kurejea kama kawaida na uendelee kupata habari kwa wakati.

TUMA MCHANGO WAKO KWENDA NAMBA

 0652740927-TIGO PESA 

AU 0768260834 -MPESA

 ili kurejea ktk huduma yetu kama kawaida.

Thanks.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *