TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO CHUO CHA PASIANSI MWAKA 2016/2017 | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Thursday, 11 August 2016

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO CHUO CHA PASIANSI MWAKA 2016/2017

 Pasiansi Wildlife Training Institute (PWTI)

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2016/2017

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2016/2017.
Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 22 Agosti 2016.  TAFADHALI ZINGATIA: Kwa wote waliochaguliwa kwa ufadhili binafsi ili kuthibitisha udahili na nafasi yako wanatakiwa kulipa shilingi 200,000/- ikiwa ni sehemu ya ada ifikapo tarehe 15 Agosti 2016. Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea kupoteza nafasi hiyo. Jina la muweka fedha katika fomu ya kuweka fedha benki liwe ni jina la aliyechaguliwa kujiunga na Taasisi na nakala ya fomu ya kuweka fedha benki itumwe kwa Mkuu wa Taasisi, Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, S.L.P 1432, Mwanza, Nukushi: +255-(0)282560333, Barua pepe: admission@pasiansiwildlife.ac.tz. Akaunti ya benki ya Taasisi ni Jina la Akaunti: Principal, Wildlife Training Institute, Namba ya Akaunti: 31101100029, Benki: NMB.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us