Shule nyingine ya sita yachomwa moto Arusha | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Tuesday, 23 August 2016

Shule nyingine ya sita yachomwa moto Arusha

motoWatu wasiojulikana wamechoma ofisi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Winning Spirit ya Arusha na kufanya idadi ya shule zilichomwa moto ndani ya miezi miwili mkoani hapa kufikia sita.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alisema jana kuwa tukio hilo lililotokea saa saba usiku na taarifa za kiintelejensia zinaeleza kuwa kuna kundi la watu linalofadhili watu wanaofanya uhalifu huo.
Alisema jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa kina kuubaini mtandao huo na kuchukua hatua za kisheria.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us