Monday, 8 August 2016

NACTE:ORODHA YA VYUO NA PROGRAMME ZENYE NAFASI AUGUST 8 2016


Baraza linaomba ifahamike kuwa vyuo na kozi zilizojaa hazitaonekana tena wakati wa maombi bali kozi zitakazoonekana ni zile zenye nafasi tu pia baraza linashauri waombaji wajipime na kuangali ushindani wa kozi ili kufanikisha kuchaguliwa kwao. Vyuo na kozi zilizo na nafasi  <<<zimeainishwa hapa.>>>
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *