Friday, 26 August 2016

MPYA:VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA MASWA-SIMIYU WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI


Jeshi la polisi wilaya ya Maswa linawashikilia viongozi 17 wa chadema wilayani humo walikutwa wakiwa katika ofisi yao ya wilaya wakiendelea na shughuli zao.Waliokamatwa miongoni mwao ni Mkt wa Chadema wilaya,Peter Shiyo,Katibu Frola Msuka,Katibu na Vijana wilaya,Matondo wengineo.Sababu za kukamatwa kwao zitatolewa baadaye baada ya jeshi hilo kutoa taarifa kamili.

Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *