Monday, 22 August 2016

MPYA:USAHIHI KUHUSU MAJINA YA WANAFUNZI 2,192 AMBAO MIKOPO IMESITISHWA

 
Habari zenu,
Kama kawaida yetu Maswayetu Blog ni kuhakikisha tunakujali na kukupatia kitu roho inajiuliza 24 hrs.Kumekuwepo na mkanganyiko kuhusu majina yaliyotolewa kwenye website ya bodi ya mikopo kuhusus wanafunzi kusitishiwa mikopo yao 2016.

Hii haiwahusu kidato cha sita mnao apply mwaka huu.

Hayo ni majina ya wanafunzi walioshindwa kuhakiki taarifa zao vyuoni wakati bodi ya mikopo ilipokuwa ikifanya physical verification;Licha ya kupewa nafasi ya kuhakiki more than one walishindwa kufanya hivyo,na hatimae kuonekana kama ni wanafunzi hewa waliokuwa wakipokea mikopo,na mikopo yao kusitishwa hivyo basi kama kweli wanafunzi hao sio hewa wanatakiwa kuapply upya mwaka wa masomo 2016/2017 Kwa sababu mikopo yao imesitishwa rasmi.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *