MASWAYETU BLOG SASA INATOA HUDUMA ZIFUATAZO KWA WADAU WAKE ,KARIBUNI SANA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Wednesday, 3 August 2016

MASWAYETU BLOG SASA INATOA HUDUMA ZIFUATAZO KWA WADAU WAKE ,KARIBUNI SANA

Je,wewe ni muhitaji wa huduma yeyote ya kielimu? usijali Maswayetu blog tumeamua kuanzisha huduma kwa wadau wake.

Tunafanya yafuatayo;
1.Tunaangalizia watu majina vyuo walivyochaguliwa mfano.vyuo vya afya,mifugo,kilimo, etc. kwa gharama nafuu

2.Tunatoa ushauri wa kielimu kuhusiana na maksi ulizopata ktk masomo yako,ili upate kozi nzuri yenye ajira ili usije sumbuka mtaani,pia tutakusaidia kuapply chuo kwa gharama nafuu.

3.Kama unaswali lolote  na ungependa kufahamu zaidi,kuhusiana chochote kile utafanyiwa hilo kwa gharama nafuu.

4.Tutakusaidia kuchagua chuo bora kwa ajili yako ,ili usije jutia baadae.

5.Pia tunasaidia kutafuta schoraship nje ya nchi.

GHARAMA YA YOTE HAYO NI NAFUU SANA

Malipo yote yatumwe kwenda namba 0768260834-MPESA 
                                                             0652740927-TIGO PESA


JINSI YA KUSAIDIWA:
ANDIKA SMS IKIELEZEA SHIDA YAKO,KWA UREFU TUTAISOMA NA KUKUJIBU,KAMA NI KUANGALIZIWA JINA LAKO,NAMBA YAKO YA MTIHANI NA MWAKA ULIOMALIZA THEN ELEZA SHIDA YAKO,TUTAKUJIBU.TAFADHALI :LIPA KWANZA NDIO UTUME TEXT THEN TUTAKUSAIDIA KWA MOYO MMOJA


KARIBU SANA.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us