Mabasi kuendelea na safari nchini | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...

Sunday, 21 August 2016

Mabasi kuendelea na safari nchini

 1BBBB
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimesitisha uamuzi wake wa kuacha kutoa huduma za usafiri kwa mabasi ya mikoani kupisha ukaguzi wa magari hayo ili kuzuia ajali za barabarani.
Hivi karibuni Taboa walikubaliana kusimamisha safari za mabasi zaidi ya 4,000 kuanzia kesho kwa muda usiojulikana kutoa fursa kwa Kikosi cha Usalama Barabarani kufanya ukaguzi huo.
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu amesema: “Serikali imeahidi kushughulikia kero zilizotulazimisha kuamua magari yetu yaende kufanyiwa ukaguzi na kusitisha safari zetu zote, hivyo tutaendelea na kazi.”
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG
Pata taarifa mpya kwa wakati kwenye watsup yako,FANYA HIVI 1:SAVE HII NAMBA 0768260834 KWENYE SIMU YAKO AS BLOGGER BOY au MASWAYETU BLOG 2:NITEX "habari" 3:NITAKUPA HABARI KALI ZA KILA SIKU BURE!

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us