DED Aeleza Kwa nini alitoa machozi mbele ya wabunge | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Friday, 19 August 2016

DED Aeleza Kwa nini alitoa machozi mbele ya wabunge


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Agnes Mkandya. 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Agnes Mkandya amesema utafunaji wa fedha za umma uliofanywa na watendaji ndiyo ulimtoa chozi wakati akihojiwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (Laac).
“Ni kuwa kitu kilichonifanya (nitoke machozi) ni yale machungu ya ubadhirifu wa wakuu wa idara na baadhi ya watendaji kufanya wizi kwa kutumia carbon slip,” ameandika Mkandya kwenye ujumbe mfupi alioutuma kwa mwandishi wa Mwananchi.
Katika mahojiano mbele ya kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma mwanzoni mwa wiki, Mkandya aliulizwa swali na Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Leah Komanya kuhusu ubadhirifu katika halmashauri yake, na wakati akijieleza alikuwa akibubujikwa na machozi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us