VIDEO:MKUU WA MOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA,APIGA MARUFUKU VITU VITATU JIJINI DAR,VISOME HAPA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Sunday, 3 July 2016

VIDEO:MKUU WA MOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA,APIGA MARUFUKU VITU VITATU JIJINI DAR,VISOME HAPA

 Tokeo la picha la MAKONDA
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku vitu vitatu kutoonekana katika mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye kongamano la Dini lililofanyika katika uwanja wa Taifa alisema..’Kwanza kwa watumiaji wa biashara ya Sheesha katika maeneo ya Bar, Clubs na sehemu zingine kuanzia leo ni marufuku katika maeneo hayo’- Paul Makonda
Pili ni marufuku kwa wavutaji wa Sigara kwenye sehemu za wazi kwani wataalamu wanasema ule moshi unamuathiri yule asiyetumia hiyo Sigara kuliko yule anayetumia Sigara’Paul Makonda
Tatu ni marufuku kwa ushoga kwenye mkoa wangu wa Dar es Salaam na mashoga wote walio kwenye instagram na Facebook watakamatwa na wale wote wanao wa follow mashoga kwenye mitandao ya kijamii basi watakuwa na hatia ile kama ya mashoga‘- Paul Makonda 

 VIDEO

 
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us