Saturday, 16 July 2016

UFAFANUZI KUHUSU SIFA/MAKSI KULINGANA NA MATOEKO YAKO YA FOMR 6 ZA KUINGIA CHUO KIKUU 2016/2017

Habari yako,
Kama ambavyo ahadi yetu kukufanya wewe mdau wetu upate kitu roho inapenda.Jana matokeo ya kidato cha sita yalitangazwa.

Hongereni sana kwa mliofaulu na mliofeli msikate tamaa,jaribuni kutafuta altenative mapema kabla mda haujakupita.

MASWAYETU BLOG imepokea maswali mengi sana,kutoka kwa wadau wa blog hii hasa form 6 wanaotarajia kwenda chuo kikuu.
swali lililoulizwa sana:JE DIV III WANAENDA CHUO KIKUU?
JIBU: siku zote kuchguliwa chuo kikuu hawaangalii divison ya mtu,ila wanaangalia minimum entry qualifcation za kuingia chuo.Minimum entry qualifiction hapo nyuma ilikuwa ni lazima upate E mbili kwenye combination yako.
Lakini juzi TCU walibadilisha Vigezo na kupandisha hadi D mbili.
Hii inamaana kwamba Endapo kama umepata D D F-DIV 3 Pts 15 chuo utapata kwa sababu una minimum entry qualification za kujiunga chuo kikuu.
ila kama una A E E DIV 2 pts 11 chuo huwezi kupata kwa sababu hauna minimum entry qualification.

Kutokana na maelezo hapo juu ni kwamba ,umeona mtu alie na D mbili ana DIV 3 pts 15 lakini sifa za kwenda chuo kikuu
anazo.lakini mwenye DIV 2 pts 11 hana sifa za kwenda chuo.


swali jingine:Je,mwenye DIV III Atapata mkopo mwaka huu?  

jibu:Wengi mmekuwa mkichanganya kati ya GRANT na MKOPO ,kutokana na guidelines za bodi ya mikopo ni kwamba ,
GRANT ni kama schoralship utolewa kwa wanafunzi waliofaulu sana yaani DIV 1 & 2 ,pia lazima uwe umechaguliwa kusoma kozi za MEDICINE,MIFUGO au LABORATORY.

LOAN utolewa kwa wanafunzi wote waliofaulu kwa kiwngo cha kuanzia DIV 1 hadi 3 ,ila kigezo kikubwa uwe umechaguliwa kusoma kozi zenye priority na mkopo.

bonyeza hapo kuona kozi zenye priority>>>>KOZI PRIORITY 2016/2017


bonyeza hapo kuona matokeo form 6 na ualimu 2016>>>>ACSEE,GATCE AND DSEE NECTA RESULTS 2016Conclusion: 
Kuanzia leo naomba ujue na umwambie rafiki yako kwamba chuo kikuu huwa hawaangalii DIVISON katika kuchagua wanafunzi ,bali wanaangalia MINIMUM ENTRY QUALIFICATIONS ambazo ni lazima uwe na principle passes mbili ambazo ni D D ktk combination yako uliyosomea.mfano kama ni PCM lazima uwe na  atleast kuanzia D D katika masomo yako ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu 2016/2017.

thanks.
MASWAYETU BLOG TEAM 
TUPO KWA AJILI YAKO!
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *