SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO 2016,KUTANGAZWA MDA WOWOTE | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Friday, 22 July 2016

SECOND SELECTION KIDATO CHA TANO 2016,KUTANGAZWA MDA WOWOTE


Waziri wa TAMISEMI amesema kwamba awamu ya pili inasubiri nafasi zitakazojitokeza kutokana na wanafunzi watakao acha kuripoti kwa kupelekwa na wazazi wao kwenye shule binafsi au vyuo binafsi na vya serikali.
Pia Mheshimiwa Simbachawene aliziagiza mamlaka zinazohusika na kuwapokea wanafunzi wapya wa kidato cha tano kuhakikisha kuwa miundombinu yote muhimu inakamilika ikiwemo mabweni, madarasa vyoo na Maabara, samani (vitanda, Meza na Viti huduma za Maji na Umeme zinatekelezwa na kukamilika kwa wakati.
Katika mwaka 2016 jumla ya shule mpya za kidato cha tano 50 zimeanzishwa kutokana na maombi ya mikoa kwenye maeneo yao ili kuendana na lengo la Serikali la kuongeza Shule za Kidato cha Tano na Sita.
Hivyo, Waziri Simbachawene amewataka Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha kuwa shule zote zina walimu na vitabu vya kujifunzia na kufundishia na pia kuhakikisha chakula kwa wanafunzi wa bweni kinaandalaiwa kabla wanafunzi wapya wa kidato cha tano hawajaripoti.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us