Sunday, 10 July 2016

PICHA:SHULE YA SEKONDARI LINDI YAUNGUA MOTO

Kwa habari zilizotufikia MASWAYETU BLOG ni kwamba shule ya sekondari Lindi imeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo,na kuteketeza vibaya majengo ya madarasa hasa ya form 2 na form 3 ,ambapo pia moto huo umeunguza maabara ya chemsitry na physics vibaya sana.
Chanzo cha moto huo unasemekana ni itilafu ya umemePost a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *