Sunday, 3 July 2016

OMMY DIMPOZI NA WYNE ROONEY KATIKA PICHA YA PAMOJA

Kwenye zile stori za kwenye mitandao ambazo zimefatiliwa sana ni pamoja na hii ya Ommy Dimpoz kukutana na Wayne Rooney mchezaji wa Manchester United wakiwa Ibiza na kisha kupiga picha ambayo imebeba vitu vingi tusivyovifahamu na pengine tulihitaji kufahamu.
Picha ambayo imepigwa na Dimpoz ni picha ya video ambayo wanaonekana wanazungumza kitu lakini sauti ya video hiyo imezimwa (mute) so wakati tunasubiri Ommy Dimpoz mwenyewe atuambie walichokuwa wanazungumza ninayo hiyo video mtu wangu ambayo Ommy Dimpoz kapost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Kwenye post zake Ommy Dimpoz ameonekana akila raha sehemu mbalimbali za Ibiza,mahali ambako mastaa wengi wa Dunian hutembelea kwa ajili ya mapumziko.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *