Tuesday, 19 July 2016

MPYA:WAKATI UHAKIKI WA WANAFUNZI HEWA WA VYUO VIKUU UKIENDELEA TANZANIA,PESA YA FIELD YASITISHWA-VIDEO

 
Waziri wa elimu Mh.Joyce Ndalichako alitolea ufafanuzi kuhusu swala la wanafunzi wanaoenda field amesema kwamba,wameamua kusitisha zoezi la kutoa pesa za field kwa sababu inaaminika wanafunzi wengi bado ni hewa.

Tamko hili limetolewa leo,wakati zikiwa zimebaki siku 4 kwa wanafunzi hao kuripoti ktk vituo vyao vya field.

Uhalisia uliopo hali ya kifedha kwa wanafunzi hao kwa sasa ni mbaya sana hivyo kuna uwezekano wanafunzi hao wakachelewa kuripoti na kuwaathiri masomo yao.
 ANGALIA VIDEO HAPO CHINI
 
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *