Thursday, 21 July 2016

MPYA:TAZAMA HAPA MISHAHARA MIPYA YA MADAKTARI,WAFAMASIA,AFISA WAUUGUZI NA AFISA MTEKNOLOJIA KUANZIA 2015/2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Nimeamua kuwaletea hapa mishahara watakaolipwa wafanyakazi wa kada ya afya nchini tanzania kwa mwaka  2015/2016.
Mishahara hii nimeipata kwenye taarifa iliyotolewa na wizara ya afya kuhusu malipo ya wanafunzi watakaokuwa intern ship ambao watalipwa 80% ya mshahara wa mafanyakazi.

DAKTARI ATALIPWA 1,148,000 TSHS.

MFAMASIA                 1,215 ,000 TSHS
AFISA MUUGUZI TSHS.980,000
AFISA TEKNOLOJIA TSHS 980,000
Hii pia inahusisha malipo kwa wanafunzi ambao wanakuwa kwenye field "intern ship" 
KUSOMA TAARIFA KAMILI BONYEZA HAPA
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *