MOTO WATEKETEZA MAJENGO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 9 July 2016

MOTO WATEKETEZA MAJENGO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI


July 9 2016 Moto umetokea kwenye Baadhi ya mabweni katika chuo cha Ushirika Moshi (MUCCOBS), moto ambao ulitokea katika chumba kimoja cha bweni katika chuo hicho, na kufanikiwa kuzimwa baada ya masaa manne tokakutoke kwa moto huo.
Hata hivyo moto huo haujaweza kumdhuru Mwanafunzi yeyote katika chuo hicho, na pia chanzo cha moto bado hakijajulikna mpaka sasa
IMG-20160629-WA0047
IMG-20160709-WA0038
IMG-20160709-WA0039
IMG-20160709-WA0045
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us