Sunday, 10 July 2016

Magari 5 yagongana MBALIZI, Watu wamekufa Wengi sana


 Ajali mbaya yatokea Mbalizi Mbeya muda wa saa moja na nusu jioni Lori lililo kuwa limepakia Siment limegonga magari 4 na hilo Lori jumla la 5. imeigonga Gari aina ya Coster iendayo Mwanjelwa yenye namba T 705 CVK ikiwa na Abiria na Gari aina ya Center iliyokuwa imebeba Mahindi na Gari ndogo aina ya Suzuki na Noah iliyo kuwa na Abiria, inasemekana watu wengi wamekufa ila idadi ya walio fariki mpaka sasa bado hatujapata...  Mungu azilaze Roho za marehemu mahala pema pepoli Amin.

Tutaendelea kukujuza Tukipata habari zaidi...


HII NI SAUTI KATIKA ENEO LA TUKIO..
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *