Wednesday, 20 July 2016

AUDIO | Twenty Percent(20%) – SITOI | Download


Mshindi wa tuzo tano za muziki za Kilimanjaro 2011, Abbas KinzasaTwenty Percent’ amesema ameamua kurudi kwa producer wake John Shariza, maarufu kwa jina la Man Walter ili kuwaburudisha mashabiki ambao wanahisi kuna kitu wanakosa. Na huu ndio Ujio wake Mpya (SITOI)Msikilize na Uache Comment Yako.
Download
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *