Thursday, 14 July 2016

AUDIO: Mbwa adaiwa kuzaa nguruwe Iringa


Yawezekana kabisa kuna matukio umeshawahi kuyasikia au hata kuyashuhuduia mwenyewe na yakakushangaza, basi hii pia liongezee kwenye hayo mengine, Hili ni tukio lililopata airtime kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo July 14 2016.

Mbwa mmoja Iringa amezaa mnyama aina ya Nguruwe, akielezea tukio hilo mwenye mbwa amesema waligundua kwamba mbwa huyo amezaa ngurume tangu juzi, baada ya mume na watoto wake kumjulisha hali hiyo na mara baada ya kushuhudia tukio hilo alitoa taarifa kwa uongozi wa mtaa huo pamoja na majirani huku akionesha kushtushwa na tukio hilo.
Daktari wa mifugo, Anthony Mwangolombe mara baada ya kupata taarifa kuhusu suala hilo walifika eneo la tukio na amesema kuwa jambo hilo hajawahi kuliona likitokea kwa mbwa.

>> >>>>DOWNLOAD HAPA AUDIO
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *