Tuesday, 28 June 2016

VIDEO:GWAJIMA BADO ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KWA UDI NA UVUMBA-SIMON SIRROKamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata majibu.

Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *