Monday, 6 June 2016

PICHA:TFDA KANDA YA ZIWA WATOA ELIMU JUU YA CHAKULA NA DAWA CHUO CHA AFYA NGUDU-KWIMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mamlaka ya chakula na Dawa TFDA kanda ya ziwa imetoa elimu juu ya matumizi bora ya chakula na dawa kwa chuo cha afya NGUDU kilichopo mjini mwanza.
Mafunzo haya ni moja ya muendelezo wa mafunzo yanayotolewa na Mamlaka hiyo ya Chakula na dawa.
Mtaalamu wa madawa kutoka TFDA KANDA YA ZIWA akifafanua jambo chuoni hapo
(picha na Martine Malima-TFDA MWANZA)

Mtaalamu wa madawa kutoka TFDA KANDA YA ZIWA akifafanua jambo mbele ya wanafunzi chuoni hapo
(picha na Martine Malima-TFDA MWANZA)


Mwanafunzi akiuliza swali kwa mtaalam wa madawa kutoka TFDA KANDA YA ZIWA akifafanua jambo chuoni hapo

Mtaalamu wa madawa kutoka TFDA KANDA YA ZIWA akifafanua jambo chuoni hapo

(picha na Martine Malima-TFDA MWANZA)

(picha na Martine Malima-TFDA MWANZA)

(picha na Martine Malima-TFDA MWANZA)
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *