Tuesday, 7 June 2016

BREAKING NEWS:TANGAZO KUTOKA BODI YA MIKOPO KUHUSU MAOMBI YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU 2016/2017

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 HESLB LOGO

Kutokana na kutapakaa kwa habari za uzushi mitandaoni bodi ya mikopo imesema kwamba;"Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri !"
source:heslb.go.tz
tafadhali endelea kutembela BLOG YETU YA MASWAYETU BLOG KWA MORE UPDATES 
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *