Thursday, 19 May 2016

VIDEO: Part Two ya Exclusive ya Mbunge Agness Marwa -‘Nawashangaa wanaoiponda CV yangu’

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya kuipata stori ya Mbunge Viti Maalum CCM Agness Marwa ambaye ni mmoja kati ya Wabunge walioweza kuingia kwenye headline kwenye mitandao mbalimbali nchini haswa baada ya tukio lake la kuchangia hotuba ya Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Bunge la 11. Na ni baada ya kutoa kauli ya kutotaka Bunge kurushwa Live.
Nakukutanisha na hii Part Two ya mahojiano yake aliyofanya huku ishu kubwa ikiwa ni CV yake inayosambaa kwenye mitandao….

Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *