MAJINA NA TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI FORM 6 WALIOCHAGULIWA JKT KWA MUJIBU 2016 ,INGIA HAPA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Monday, 23 May 2016

MAJINA NA TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI FORM 6 WALIOCHAGULIWA JKT KWA MUJIBU 2016 ,INGIA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2016, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
Sanjari na uchaguzi huo, JKT limewapangia makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 - 05 Juni 2016.
Vijana waliochaguliwa, wamepangiwa katika Kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT Makutupora – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale – Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba – Tanga, JKT Bulombora, JKT Kanembwa na JKT Mtabila – Kigoma.
Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti Kambi ya JKT RUVU, iliyopo Mlandizi mkoani Pwani, ambayo ina miundombinu ya kuhudumia watu wa jamii hiyo.
JKT linawataka vijana hao kuripoti makambini wakiwa na nguo za michezo kama vile ‘track suit’, bukta, raba pamoja na nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa kwenye makambi yenye baridi kama JKT Makutupora, JKT Mafinga, JKT Mlale, JKT Kanembwa na JKT Mtabila.

KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA JKT KWA MUJIBU KIDATO CHA SITA 2016
 KAMBI YA 
RWAMKOMA JKT>>>BONYEZA HAPA
MAFINGA JKT >>>>BONYEZA HAPA
MAKUTUPORA JKT>>>BONYEZA HAPA
MTABILA JKT>>>>>BONYEZA HAPA
KANEMBWA JKT>>>BONYEZA HAPA
BULOMBORA JKT>>>BONYEZA HAPA
RUVU JKT>>>>>BONYEZA HAPA
MGAMBO JKT >>>BONYEZA HAPA
 MARAMBA JKT>>>BONYEZA HAPA
MLALE JKT>>>BONYEZA HAPA
MSANGE JKT>>>BONYEZA HAPA


BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us