Tuesday, 31 May 2016

MPYA:WANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM WAANDAMANA ,KISA BOOM(AUDIO)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for UDSM 
[​IMG]

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wamegoma kuingia madarasani kutokana na kucheweleshewa pesa yao ya mkopo.

Mmoja wa wanafunzi anaesoma chuoni hapo akiongea na MASWAYETU BLOG TEAM amesema kwamba ,Ni wiki ya kumi sasa.

Jana usiku wanafunzi hao walifanya maandamano wakidai chuo kiwalipe pesa yao,sio kuwasainisha kwa siku nyingi hadi leo hawajapata pesa yao.

Wanafunzi hao wamesema kwamba hadi sasa maisha ni magumu sana kutokana na kutokuwa na pesa hata ya kula na uongozi wa chuo umekaa kimya bila kuwapa taarifa yoyote.
DOWNLOAD AUDIO HAPA KUSIKILIZA RAIS WA CHUO AKIONGEA
>>>>>>>>DOWNLOAD
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *