MPYA:WANAFUNZI SUA WAANZA KUHAKIKIWA KAMA WANA SIFA ZA KUWEPO CHUONI HAPO | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Tuesday, 31 May 2016

MPYA:WANAFUNZI SUA WAANZA KUHAKIKIWA KAMA WANA SIFA ZA KUWEPO CHUONI HAPO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Tokeo la picha la SUANET.AC.TZ
Baada ya Waziri wa elimu kutangaza kwamba serikali itaanza kuhakiki sifa za wanafunzi walioko vyuoni kama wanasifa za kuwepo vyuoni humo,Chuo kikuu cha sua kimeanza zoezi la kuhakiki wanafunzi hao,MASWAYETU BLOG TEAM ikiongea moja kwa moja na Makamu mkuu wa chuo hicho Prof.Peter Gillah ofisini kwake ,amesema kwamba "japokuwa  hatujapata taarifa rasmi kutoka serikalini kuhusu kuhakiki wanafunzi wetu,sisi tumeona tuanze moja kwa moja ili kujihimarisha wanafunzi tulionao,huku tukisubiria taarifa rasmi kutoka serikalini,Pia tumeanza rasmi kuhakiki wanafunzi hasa hawa wapya wa st.joseph kama wana  sifa za kujiunga chuoni hapa"

MASWAYETU BLOG iligonga hodi chuo kikuu cha mzumbe ambacho kipo km 17 kutoka mjini ,na kuuliza kama wameanza kufanya uhakiki wa wanafunzi walionao,Na kupewa jibu moja tu kwamba "SISI TUNA AMINI WANAFUNZI WETU KWA SABABU WAMEDAHILIWA KUTOKA TCU NA NACTE"

By repoter MASWAYETU BLOG TEAM !
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us