Sunday, 8 May 2016

HAPPY DAY WAKINA MAMA WOTE DUNIANI,NIMEWEKA HAPA JINA LA MAMA AKO ,TAFADHALI LIANGALIE THEN MWAMBIE #happy day mum# ATAFURAHI SANA!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for happy women's day
Nachukua fursa hii kuwapa hongera wakina mama wote duniani ambao  wanaenda kusherehekea siku ya wakinamama duniani.
Japo ni miaka 9 tangu mama angu uniache,nafurahi kuwa mimi na nanapenda kujivunia kwamba mwanao last born blogger boy,napambana na maisha.
(blogging and making money) 
(employed at adsense) 

#happy day my late mum(mama blogger boy)
#happy day mama mkubwa
#happy day mama of all my friends
#happy day mama jimmy,mama paul,mama kasiga,mama frank,mama felista,mama mashaka,mama mariam,mama john,mama mbula,mama madee,mama monica,mama isaya,mama dastan,mama frednand,mama shanny,mama daniel,mama emmanuel,mama naomi,mama gammy,mama nizer,mama shinji,mama harod,mama nana,mama vedy,mama hollo,mama mageta,mama ernest,mama happy,mama frida,mama herieth,mama lusoma,mama mathias,mama pierre,mama juma,mama cecy,mama zipora,mama tuntu,mama anne,mama rehema,mama robby ndama,Mama edward

Kama sijamtaja mama ako tafadhali comment hapo chini jina la mama kipenzi au nitext watsup 0652740927 nitamuorodhesha hapa.
fanya hivyo kushow love kwake ,nitamuweka then mwambie happy day mum atafurahi sana.
HAPPY DAY TO ALL MAMA IN THE WORLD
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *