Friday, 20 May 2016

BREAKING NEWS:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AFUKUZWA KAZI CHARLES KITWANGA AFUKUZWA KAZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
http://www.jamiiforums.com/attachments/utenguzi-jpeg.349402/
Habari za hivi punde zinasema rais Magufuri amemfuta kazi waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga.

Sababu kubwa ni kuwa mh. Waziri Kitwanga kaingia bungeni akiwa amelewa na akaenda jibu swali akiwa amelewa..!


Source: Tbc1 Habari


======

Taarifa ya Ikulu:
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *