Tuesday, 19 April 2016

Mwanamuziki Diamond Platnumz Atangaza Nafasi za Kazi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
DOWNLOAD MASWAYETU APP HAPA
Katika hali ya kuendelea kusaidia vijana wenzetu ambao bado wapo mtaani... Ndugu zangu kuna nafasi za kazi hapa @wcb_wasafi ...tunauhitaji wa:
1. Videographer mweye uwezo wa kushoot na kuedit...
2. Kijana Mwenye taaluma nzuri ya IT/ Socila Media Adminstrator Mwenye uwezo wa kuandika na Kuzungumza kingereza fasaha....
3. Secretary wa kike, Mwenye uwezo wa Kuandika Kiswahili na kingereza fasaha.... sio vingereza vya "baby i love you" au "Chilling home" mara "Less wig on fleek" sjui hapana, Fasaha.... wasiliana nasi kwa namba zetu +255757339215 au fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *