Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Samson Mwigamba Ajiuzulu | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Thursday, 21 April 2016

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Samson Mwigamba Ajiuzulu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT - Wazalendo, Samson Mwigamba amejiuzulu nafasi yake ili apate nafasi ya kwenda masomoni Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya.

Kwa mujibu wa ACT-Wazalendo, kamati ya uongozi imekubali maombi ya Mwigamba na kumruhusu kwenda masomoni na kuwa mchakato wa kujaza nafasi hiyo utaanza mara moja.

Naye Mwigamba ameushukuru uongozi wa chama chake kwa ushirikiano waliompatia tangu chama hicho kinaanzishwa. Amesisitiza kwamba bado ni mwanachama na ataendelea kutoa ushirikiano hata akiwa nje ya nchi.

Mwanasiasa huyo anakwenda kusoma shahada ya uzamili katika masuala ya utawala na usimamizi wa biashara (MBA) na baada ya masomo hayo ataendelea na shahada ya uzamivu (PhD).\
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us