WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WAENDELEA NA MGOMO- DAR LEO | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Tuesday, 8 March 2016

WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WAENDELEA NA MGOMO- DAR LEO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYIMAG0455

Siku ya leo tena wanafunzi wa stjoseph wameonekana wakiwa njee ya madarasa yao na shughuli zote za kimasomo zikisimama  ,hii ni baada ya siku kadhaa kupita tangu wanafunzi wa chuo cha st joseph kampas ya luguruni kugoma ndani ya wiki iliyopita, moto umeendelea kuwashwa hii leo tena ikiwa ni harakati ya wanafunzi hao kudai haki lazima itendeke, na pia serikali inatakiwa kuangalia swala hili kwa jicho la tatu, ili kutendea kazi madai ya wanafunzi hawa…
madai ya wanafunzi ni yale yale tangu miaka ya nyuma kidogo  ambapo wanafunzi waliofatilia kipindi hicho walipewa majibu yale yale yanayotoleawa leo na kwamba hakuna ufatiliaji uliofanyika wa maana hivyo kupelekea wanafunzi kuendelea kuteseka pasipo usaidizi wowote.
madai hayo ni pamoja naada kubwa inayolipwa mara mbil zaidi ya ada iliyopangwa na serikali lakini pia elimu inayotolewa haiendani na ada inayotolewa,pia ratiba za chuo kuwa tofauti sana na ratiba za vyuo vingine, kucheleweshwa kwa vyeti vya wahitimu pia muda wa kuhitimu kucheleweshwa bila sababu za msingi, pia kutokuwa na walimu wenye sifa za kufundisha elimu ya chuo kikuu,
pia wanafunzi wanaandamana kuomba chuo kifungwe kwa muda ili kifanyiwe marekebisho hayo ndipo masomo yaendele kama kawaida.
IMAG0455 IMAG0459 IMAG0457IMAG0459 Hivyo wanafunzi hao wametoa waraka kwa serikari na chuo ili mahitaji yao yaweze kutimizwa haraka
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us