VIDEO:MATOKEO YA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU ZANZBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATANGAZWA RAIS WA ZANZBAR | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Monday, 21 March 2016

VIDEO:MATOKEO YA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU ZANZBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATANGAZWA RAIS WA ZANZBAR

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 MATOKEO RASMI:
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salim Jecha amemtangaza Dr. Mohammed Shein kuwa Rais wa Zanzibar kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016 kwa asilimia 91.4.
shein.jpg

Dr. Mohammed Shein

Kwa mujibu wa Jecha, Shein amepata ushindi wa kishindo wa kura 299,982 ambazo ni sawa na asilimia 91.4. Nafasi ya pili imeshikiliwa na mgombea urais wa ADC, Hamad Rashid aliyepata kura 6,734 huku Maalim Seif Sharif Hamad (CUF) akishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 6,076.

Kutokana na matokeo hayo, Dk. Ali Mohamed Shein ndiye atakayeendelea kuiongoza Zanzibar kwa muhula wake wa mwisho kwa mujibu wa Katiba.
matokeo.jpg
 
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us